kibaizi kiki
Senior Member
- Dec 23, 2012
- 160
- 39
mkuu wewe unatokea ng'ambo ya pili ya bahari ama?🙂Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye mabasi makonda wakimuogopa kwelikweli. Ni zaidi ya miaka 25 sijamsikia tena
Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye mabasi makonda wakimuogopa kwelikweli. Ni zaidi ya miaka 25 sijamsikia tena
Yupo ndio mimi hapa,ulikuwa unasemaje?
Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye mabasi makonda wakimuogopa kwelikweli. Ni zaidi ya miaka 25 sijamsikia tena[/QUO
satana yupo na bado anaishi manzese ila kwa sasa ni mtu mzima na ni mswali hina swala tano na ni mtu mwenye uwezo kidogo anamiliki guest pale manzese waliuza nyumba yao ya ulithi ilikuwa pale manzese barabarani....kifupi yuko poa.

na cool nine je..mnamkumbuka wadau?? nafkiri huyu ndo mbabe maarufu sana
Yupo ndio mimi hapa,ulikuwa unasemaje?
Huyo Santana wako ni feki.Kwa wanaokumbuka miaka ya 80 kulikua na bwana akiitwa Santana. Huyu jamaa alikua mbabe sana akicheza karate. Kutwa nzima akishinda stendi za mabasi sanasana kituo cha manzese (msufini). Akiamua aliweza kupora chochote pasipo kufanywa chochote. Kuna wakati alisaidia wanafunzi kuingia kwenye mabasi makonda wakimuogopa kwelikweli. Ni zaidi ya miaka 25 sijamsikia tena
Jamaa alitisha sana, sijui kapotelea wapi huyu "gangwe".
Njoo tupige game siku hizi nipo fit sana lazima nikukalishe
Huyo Santana wako ni feki.
Nikifikiri unaongea Carlos Santana- the Great.
Ni wa siku nyingi sana na rekodi yake moja itakayokuacha hoi ni- Black Magic Woman