Nafikiri Gatusso atakuwa amechangia hata Ronadinho kuondoka AC Millan.
Ukiangalia hii Video, utagundua kuwa walikuwa hawapikiki kabisa maana jamaa alikuwa hampendi kijana wa Samba.
Hizi ngumi na mateke, sidhani kocha au uongozi hawakuuona. Ila kama ni kuchagua, wamechagua Gatusso.
Ama kweli mcheza kwao hutuzwa. Kwa tabia za Italiano, kama PM (ambaye ndiye mwenye timu) kama Gatusso.