Mbaazi ya Arusha inahitajika haraka

Mbaazi ya Arusha inahitajika haraka

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Wandugu salama?
Nahitaji Mbaazi ya Arusha tu, tani 100 haraka iwezekanavyo.
Nanunua kilo moja kwa shilingi 600, Dar es Salaam.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Unatambuaje ni kitu cha Arusha? nikitoka Moro nikaingia nayo Arusha?
 
hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini?
 
Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo.
Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
 
si nasikia zinaongeza mashuzi hizo?
 
hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini?
Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
 
Back
Top Bottom