Du mzee umetaja za india, nina subordinates wangu wawili ni products za India (wana B.Com), mmmhh wakati mwingine huwa najiuliza vyeti walivyokuja navyo ni vyao au wamenunua, kichwani hamna kitu kabisa. Uelewa wao wa mambo ni mdogo mno, kitu kidogo unamfindisha mara zaidi ya kumi!!!!!!!!!!!!