Wewe uko wapi ili nikuelekeze
Okay,nenda kwa ofis zao watakupa mwongozo mzuri mimi nimefanya med in apps last year nimemaliza,wanakupa course outline na list ya vitabu,kazi kwako kusoma,muda inategemea na speed yako kumaliza unit
Right choice, tembele website yao na udownload prospectus. Utapata details zote
Ndo muda wa kujaza form,ada zinatofautianba depends na course pia modality ya kusoma iko tofauti,kuna distance learning,kuna executive nafikiri na face to face system mimi nilifanya hiyo executive,niko dar kwa huko kanda ya ziwa sijajua bt kila mkoa wana ofisi ingia kwa web yao angalia
Quote maelezo ya kasehuye
Mimi nipo kanda ya ziwa kwa muda mwingi
Kanda ya ziwa kubwa.
Namaanisha kuwa km ungekuwa mz ungesoma Saut wanafundisha evening kuanzia saa 16:45
Bt km upo interested na OUT well ila what I know kila mkoa nahisi wana ofisi zao.
I declare interest nipo Saut nasoma hiyo course
Stop confusing him bhana, SAUT ya nini hapo sasa? what he wants ni kusomea MBA - OUT. Anyway, kwa nchi hii, Public Universities like UDSM, SUA, Mzumbe, Ardhi, Muhimbili, OUT inclusive etc, ni bora zaidi kuliko vyuo vya Private kama SAUT, Tumaini Makumira na St. na nii zote