Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo


Kwangu nilizimaliza na hiyo dawa nilipewa Kairuki Hosp ila pharmacy kidonge ni 1500
 
Habari zenu wandugu JF, poleni kwa uchovu wa siku mpya ya maombolezo!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu, nasumbuliwa sana na mba kichwani ambao unatoka kma ungaunga kila napochana nywele, sasa hvi imefikia kiasi kwamba nikichana tu unamwagika nakuwa kama nimemwagiwa poda au sembe kichwani.

Tatizo hili ni la muda kidogo na linanifanya niwe nanyoa kila baada ya mwezi.

Note: Nikipaka mafuta mikono yote siku hiyo inahamia kichwani kwa kujikuna.
 
Mimi nilisumbuliwa sana na mba, kuna mtu aliniuzia dawa nikawa naitumia kupaka kichwani sasa nimepona

Tatizo la dawa za mba inaweza ikatibu kwangu kwako isitibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…