DissDotCom JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 395 Reaction score 271 May 27, 2015 #1 Ile offer ya airtel ya TELEZA imepelekea watu kuamka asubuhi na mapema hata kwa wale wanaochelewa makazini na uzuri leo walichelewa kukata na zikapita kama dk 40 za mda wa kawaida...
Ile offer ya airtel ya TELEZA imepelekea watu kuamka asubuhi na mapema hata kwa wale wanaochelewa makazini na uzuri leo walichelewa kukata na zikapita kama dk 40 za mda wa kawaida...
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 May 28, 2015 #2 Mimi sizitaki maana muda huo speed ni kobe style