Kwa Hiyo weweunashauri Treni Yetu isimamiwe na hao wala konokono?
Wachina wa Kenya Wamesimamia kwa sababu wanakusanya Madeni yao kama ambavyo NSSF inafanya pale DARAJA la KIgamboni.
Kwanini huyo mwekezaji asiwekeze kwa kujenga reli yake?!Mradi wa treni ya umeme pindi itakapoanza ni budi serikali ikatafuta mwekezaji mahiri atakayeweza kusimamia uendeshaji wa shughuli zote za treni hii ya umeme vinginevyo ninawapa miaka mitatu mtaona majibu. Tuige mfano wa jirani zetu wa Kenya, treni yao inasimamiwa na Wachina.
Wawapishe wanaoweza kusimamia.CCM hawawezi kusimamia chochote kile Bandari wamewapa Waarabu, Misitu wamewapa Waarabu, Mbuga wamewapa Waarabu, Mwendokasi wamewapa Waarabu ..... wamalizie tu na Train kabla watu hawajajua uzuri na ubaya wa Mwarabu....!!
R.I.P JPMNimefurahishwa sana na majaribio ya treni ya umeme kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma. Kwa kweli imenifurahisha sana kwa muda uliotumika mpaka Dodoma. Pamoja na hayo ninaona changamoto zilizopo huko mbeleni. Kwa Watanzania kama hatutakuwa maakini treni hii haitadumu kama ilivyoanza.
Mwanzo utakuwa mzuri lakini siku zitakavyokuwa zinasogea huduma zake zitakuwa haziridhishi kwa sababu ile ya kukosa uendelevu. Nitoe mifano niliyoyaona kwa miradi michache iliyopo Tanzania. Kwanza mabus ya mwendo kasi yalianza vizuri sana na wananchi tukafurahia huduma yao lakini leo hii usafiri huu umekuwa kero kubwa na matatizo haya yote tumeyaleta sisi Watanzania.
Hatuna utunzaji na uendelevu. Nia kubwa yetu Watanzania wachache ni Chukua chako Mapema. Pili, ni Uwanja wa Mkapa. Uwanja huu mwanzoni ulikuwa ni uwanja wa mfano katika nchi za Afrika Mashariki. Niliwahi kwenda siku moja kwenda kuangalia mechi hapo uwanjani.
Niliyoyaona kwenye vyoo vya uwanja huo ni ya aibu nakutisha. Watu wazima wanakojoa kwenye sinki za maji ya kunawia. Ninayasema haya kwa sababu yanauma na Watanzania hatuthamini chetu na kukitunza. Nina ushauri kwa Serikali.
Mradi wa treni ya umeme pindi itakapoanza ni budi serikali ikatafuta mwekezaji mahiri atakayeweza kusimamia uendeshaji wa shughuli zote za treni hii ya umeme vinginevyo ninawapa miaka mitatu mtaona majibu. Tuige mfano wa jirani zetu wa Kenya, treni yao inasimamiwa na Wachina.
Hii falsafa ya Chukua chako mapema ndio janga kuu katika Nchi !!Nimefurahishwa sana na majaribio ya treni ya umeme kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma. Kwa kweli imenifurahisha sana kwa muda uliotumika mpaka Dodoma. Pamoja na hayo ninaona changamoto zilizopo huko mbeleni. Kwa Watanzania kama hatutakuwa maakini treni hii haitadumu kama ilivyoanza.
Mwanzo utakuwa mzuri lakini siku zitakavyokuwa zinasogea huduma zake zitakuwa haziridhishi kwa sababu ile ya kukosa uendelevu. Nitoe mifano niliyoyaona kwa miradi michache iliyopo Tanzania. Kwanza mabus ya mwendo kasi yalianza vizuri sana na wananchi tukafurahia huduma yao lakini leo hii usafiri huu umekuwa kero kubwa na matatizo haya yote tumeyaleta sisi Watanzania.
Hatuna utunzaji na uendelevu. Nia kubwa yetu Watanzania wachache ni Chukua chako Mapema. Pili, ni Uwanja wa Mkapa. Uwanja huu mwanzoni ulikuwa ni uwanja wa mfano katika nchi za Afrika Mashariki. Niliwahi kwenda siku moja kwenda kuangalia mechi hapo uwanjani.
Niliyoyaona kwenye vyoo vya uwanja huo ni ya aibu nakutisha. Watu wazima wanakojoa kwenye sinki za maji ya kunawia. Ninayasema haya kwa sababu yanauma na Watanzania hatuthamini chetu na kukitunza. Nina ushauri kwa Serikali.
Mradi wa treni ya umeme pindi itakapoanza ni budi serikali ikatafuta mwekezaji mahiri atakayeweza kusimamia uendeshaji wa shughuli zote za treni hii ya umeme vinginevyo ninawapa miaka mitatu mtaona majibu. Tuige mfano wa jirani zetu wa Kenya, treni yao inasimamiwa na Wachina.
hao wanaoingia mikataba ya ovyo nao wanatoka uswahilini kweli?Wanakojoa kwenye masinki, wanakunya pembeni, wanaiba koki. Watu wa kutoka vijijini na Uswahilini ni wa hovyo sana.
hao wanaoingia mikataba ya ovyo nao wanatoka uswahilini kweli?Wanakojoa kwenye masinki, wanakunya pembeni, wanaiba koki. Watu wa kutoka vijijini na Uswahilini ni wa hovyo sana.
Ni makada wa CCMhao wanaoingia mikataba ya ovyo nao wanatoka uswahilini kweli?
CCMHii falsafa ya Chukua chako mapema ndio janga kuu katika Nchi !!
Ni CCM imejaa majangili tupuSasa yote haya Umeandika, wa kulaumiwa ni sisi wananchi au serikali yako???? 🤒😎
TANESCO, POSTA, TTCL, Bandari, Mwendokasi karibu vyote vimewashindaSasa kama wameshindwa kusismaia Mwendokasi wataweza kusimamia Train ya Umeme ....!!?
CCM hawawezi kusimamia chochote kile Bandari wamewapa Waarabu, Misitu wamewapa Waarabu, Mbuga wamewapa Waarabu, Mwendokasi wamewapa Waarabu, wamalizie tu na Train kabla watu hawajajua uzuri na ubaya wa Mwarabu.