Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,484
- 2,892
Watanzania kuna wakati huwa tunaamua kujitoa ufahamu na kuponda sana watu wanaofanya kazi zao.
Kuna watu hapa walidukuliwa na wengi wakailamu serikali. TCRA ilikanusha. Yet kuna watu wakaendelea kuitupia lawama serikali.
Kumbe, udukuzi ni taaluma ambayo watu wanayo na huwezi kujua mdukuzi ni mtu wa serikali au mtu wa kitaa.
Hapa chini shirika la utangazaji CNN limetoa sehemu ya udukuzi ulifanywa kwenye mazungumzo ya siri kati ya Rais Trump (Marekani) na Zelenskyy wa Ukrain
edition.cnn.com
Huenda huko mbele degree ya weledi ikaongezeka kati yetu Watanzania kwa kuwa na reference ya sio kila jambo seriakali ina mkono wake. Kuna mengine pia yanafanyika kwa kuwa wapo wanadamu wenye akili na training za mambo ikiwamo udukuzi.
Wasalaam

.
Trump's Ukraine phone call, annotated
The President pressured his Ukrainian counterpart to investigate US political rivals