Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,507
Wazungu wanasema a picture speaks hundred words.
Ukiitizama hii picha unaona kabisa Kabudi amenyong'onyea. Hana confidence na anashindwa mtizama huyu mama ambaye amekaa kwa kujiamini na kumtizama kabudi usoni.
Kwa aibu kabudi anatizama chini halafu amekaa standby kutaka kuamka anaona kama kuzidi kukaa hapo ni kujidhalilisha.huyu mama anazidi kuwambia
"kuwa kule kwetu serikali haiingilii mahakama.kila kitu kinajitegemea chenyewe.wewe ulitaka nifanye nini?si mwalimu wa sheria wewe?umeniita nifanye nini kwa mfano?"
Kabudi anatembeza tembeza macho anakosa jibu anaangalia chini kwa aibu.mama anamtizama na kumwambia "nakusikiliza mh waziri unategemea mimi nifanye nini kwa mujibu wa sheria?"