nani ametunga? moderator muwe fea, kwa mfano uzi unaozungumzia lowasa kwamba anaumwa parkinson disease mtuambie ni daktari gani aliyeithibitishia jf kuhusu ukweli wa huu ugonjwa?Mbona mumeshaambiwa ni ya kutunga lakini bado watu mnapost. Angalia TCRA. Group conversation haina hizo tick 2. Tafiti kabla ya kupost
Mbona mumeshaambiwa ni ya kutunga lakini bado watu mnapost. Angalia TCRA. Group conversation haina hizo tick 2. Tafiti kabla ya kupost
Yanaweza kuwa ya kutunga lkn sio kwa hiyo sababu ya hizo tick 2 unayosema. Kama kwenye group wote mpo active hizo tick mbili zinatokea na hata wote wakisoma msg, tick zinabadilika zote kuwa blue.
Mara nyingi kwenye groups tulizonazo ni ngumu kukuta watu wote wapo active ndio mana hilo halionekani mara kwa mara.
Mbona mumeshaambiwa ni ya kutunga lakini bado watu mnapost. Angalia TCRA. Group conversation haina hizo tick 2. Tafiti kabla ya kupost
nani ametunga? moderator muwe fea, kwa mfano uzi unaozungumzia lowasa kwamba anaumwa parkinson disease mtuambie ni daktari gani aliyeithibitishia jf kuhusu ukweli wa huu ugonjwa?
kwa hiyo hizi ulizotoa moderator wamezikubali kwamba ni sahihi na zimethibitishwa? kama mnaweza kuvalisha watu tshirt na kuwaandamanisha kama wana cdm kwani mnashindwa nini?VP kuhusu hii
Hizi screenshot zliekwa umu ndani mods wakafanya mambo zao
Mbona mumeshaambiwa ni ya kutunga lakini bado watu mnapost. Angalia TCRA. Group conversation haina hizo tick 2. Tafiti kabla ya kupost