MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 760
- 792
kwa sasa hawana namna. wametakiwa kukutana haraka sana na M23 chini ya azimio #14 la kikao cha leo cha EAC-SADC. usiyempenda kaja.Je, aliongea yeye kama yeye,au aliongea baada ya kukaa na Boss wake! Hatma ya kauli hii ni nini!!!
Yuko sahihiLambert MENDE, aliwahi kusema haya:
View: https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920
Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya kipekee: Ni kwamba, miaka ya nyuma mpaka hapa tulipo, makosa yalifanyika.
Kuamini kwamba tunaweza kuwakaribisha jeshini, kundi la wahuni, wasio na uzalendo, halafu wahisi kwamba ni rahisi kihivo kuwakaribisha? Haiwezekani. Jeshi linatakiwa kuwa imara,lililoundwa na wazalendo wa kweli.
Watu hao, kuna kazi nyingine wanaweza kufanya; wanaweza kuwa wajasiliamali, wanaweza kusoma, wanaweza kulima na mengineyo. Lakini, ili uingie kwenye jeshi la kulinda taifa, kutakuwa na vigezo kwanza. Na watu wa M23, hivyo vigezo hawana, hawastahili kuwa sehemu ya jeshi la nchi.
Kwa kifupi, hakuna mazungumzo na hao watu. Vita vitakaa miaka mia,tupo tayari, lakini hatutakaa tuweke mdudu kwenye tunda la nchi. Haitakaa itokee kukalibisha maagent wa wanyama wakali ili wao ndo wawe na jukumu la kulinda usalama wetu. Hilo kosa halitokaa litokee tena. Kwa kifupi, hatutawahi kukaa meza ya mazungumzo na waharifu.
Je, aliongea yeye kama yeye,au aliongea baada ya kukaa na Boss wake! Hatma ya kauli hii ni nini!!!
Lambert MENDE, aliwahi kusema haya:

Kwa mfano unakaa na M23 unaongeanao nini? Wao wanachofaka wawe sehemu ya Serikali na pia wale wanajeshi waingizwe jeshini lakini hawataki muanze kuwaamisha kuwapeleka waende upande wa West wao wanataka kubaki mashariki wa DRC tu! Embu nambie wewe kama Rais utakubali kuwaweka Serikalini watu bao unaamini ndiyi watoa siri za nchi?kwa sasa hawana namna. wametakiwa kukutana haraka sana na M23 chini ya azimio #14 la kikao cha leo cha EAC-SADC. usiyempenda kaja.
Usichoelewa nini kiongozi?Kwa mfano unakaa na M23 unaongeanao nini? Wao wanachofaka wawe sehemu ya Serikali na pia wale wanajeshi waingizwe jeshini lakini hawataki muanze kuwaamisha kuwapeleka waende upande wa West wao wanataka kubaki mashariki wa DRC tu! Embu nambie wewe kama Rais utakubali kuwaweka Serikalini watu bao unaamini ndiyi watoa siri za nchi?
Laurent Nkunda alikuwa mwanajeshi wa Jeshi la Rwanda (RDF) katika miaka ya 1990. Alijiunga na RPA baada ya Mauaji ya Kimbari ya 1994 na alipigana upande wa serikali ya Paul Kagame dhidi ya waasi wa Kihutu waliokimbilia Kongo.Usichoelewa nini kiongozi?
mbona mambo yako wazi tu apo.
ni hivi m23 WAMEKUBALIKA KUWA NI WAKONGOMAN - ndomaana raisi wa kongo ameambiwa AKAE NAO wayajenge.
kama m23 wangekuwa SIO WAKONGOMAN wangeambiwa waondoke kongo.