Mazoezi

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
1,604
Reaction score
872
Habari zenu wadau wa MMU. Naona jukwaa limevamiwa na watoto wengi ambao wanaomba ushauri mambo madogo madogo ambayo kwa akili ya kawaida unaweza solve bila msaada wa mtu. Tukiachana na hayo, ninawakumbushia tu kuhusu umuhimu wa mazoezi na msaada wake katika pumzi hasa kwenye tendo pia kuweka miili yetu katika hali ya afya. Nataka nijue kila mtu mara yake ya mwisho kufanya mazoezi ni lini?
 
Me nimetoka kwenye mishe mishe zangu baada ya kupumzika kwa dakika kadhaa, najiandaa nikafanye mazoezi.
 
Naona jukwaa limevamiwa na watoto wengi ambao wanaomba ushauri mambo madogo madogo ambayo kwa akili ya kawaida unaweza solve bila msaada wa mtu
Umeshasema watoto wadogo kwahiyo sisi wakubwa tuwavumilie na tuwasaidie kwa namna moja au nyingine


Nataka nijue kila mtu mara yake ya mwisho kufanya mazoezi ni lini?
Masaa machache yaliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…