raj dull ah Member Joined Mar 29, 2013 Posts 31 Reaction score 6 Apr 27, 2013 #1 Wanajamii nisaidieni ntapata wap cd zinazoonesha mazoezi kwa hapa dsm, ntazipata wap. Mazoezi ya viungo haswaa Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Wanajamii nisaidieni ntapata wap cd zinazoonesha mazoezi kwa hapa dsm, ntazipata wap. Mazoezi ya viungo haswaa Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,739 Reaction score 42,822 Apr 28, 2013 #2 Hata mimi nazitafuta sana mwenye kuwa nazo jaman tusaidiane
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 12,100 Reaction score 8,763 Apr 28, 2013 #3 Nenda pale Oilcom ya njia panda ya kituo cha sayansi na Rose garden,kuna gym,muulize SAS au Sangadele,anazo tena sio za kukopi kutoka Ulaya bali ni za kwake mwenyewe anavyofundisha
Nenda pale Oilcom ya njia panda ya kituo cha sayansi na Rose garden,kuna gym,muulize SAS au Sangadele,anazo tena sio za kukopi kutoka Ulaya bali ni za kwake mwenyewe anavyofundisha