mazoezi ya ndege za kijeshi dar es salaam leo ina maana gani?


Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Rubani Gao wa China leo jijini DSM kikosi cha Anga JWTZ


Rais Kikwete akiteremka toka ktk ndege ya kijeshi ya JWTZ leo jijini DSM


Raisi Kikwete akiangalia ndege ya kijeshi ya JWTZ JW9242 F7 G jijini Dsm ktk kikosi cha Anga. (Picha zote na Amour Nassor wa VPO + habari toka Michuziblog).
 
natamani alivyopanda nanihii wangeiwasha ikaangukilie mbali na nanihii tupate faraja wanachi:lol::lol::lol:
 
Kama maandamano ya Chadema yanawatisha wananchi, je mazoezi ya jeshi?
 
Jamani waacheni fanye mazoezi nyie kinawauma nini mbona kwenye sherehe za uhuru pale uwanja wa taifa huwa zinapita na mnashangilia. Kwakua imetokea bahati mbaya ya mbagala ndio mmeanza kusema hayo waache baaaaaa. Ajali haina kinga!
 
Watz mnawashwa kupigana,mtauwana tu msiwe na wasi bado kidogo tu mda ufike.mtachingana tani yenu hadi mkinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…