Huyo Mwenye suruari nyekundu ataku ni Heaven Sent
Kwi kwi kwi
Hahahahahaha nishafuta undugu na wewe Ntuzu so sitaki uniongeleshe u knowHuyo Mwenye suruari nyekundu ataku ni Heaven Sent
Mkuu heave ana mgongo wamana
Hahahaaaa sitaki we ni ndugu yangu tu... Km wewe ni tipwa tipwa ndio nisiseme?
Endelea kula tu uone matokeo yake