Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,436
- 1,627
Matumizi ni sawa na maziwa ng'ombe au mbuzi.Kwanini yaitwe maziwa wakati ni karanga mbichi zilizosagwa?
Matumizi yake ni nini?
Maziwa ni chakula chenye rangi nyeupe katika muundo wa kimiminika.Maziwa ni nini?
Tui la nazi ni maziwa?Maziwa ni chakula chenye rangi nyeupe katika muundo wa kimiminika.
Culture Me a.k.a Mrs Bujibuji nakuja inbwaybway ok! Tuyajenge kiulayaulaya Kama ulivyoKwanini yaitwe maziwa wakati ni karanga mbichi zilizosagwa?
Matumizi yake ni nini?
Ni Kama pesa au nywele, zinabadilika majina kwa mahali na matumizi, ie mshahara, nauli, sadaka, karo, ada, Kodi, ushuru, tozo, ujira etc. Mavudhing, mustache, ndevu, garden love, mzuzu etcMaziwa ni nini?
Sawa mkuu buji buji vipi Matema beach hawajambo?Ni Kama pesa au nywele, zinabadilika majina kwa mahali na matumizi, ie mshahara, nauli, sadaka, karo, ada, Kodi, ushuru, tozo, ujira etc. Mavudhing, mustache, ndevu, garden love, mzuzu etc
Niko Ngonga Beach kwa Davis Mwamunyange nakula Mberere, Mbasa na Kachinga.Sawa mkuu buji buji vipi Matema beach hawajambo?
Niko Ngonga Beach kwa Davis Mwamunyange nakula Mberere, Mbasa na Kachinga
Kwakwel hapo hata mimi nimeachwa njia panda, ila labda atuambie matumizi ya hayo maziwa ya karanga yanaweza kua na msaada.Mkuu hii naona kama ni tui au uniambie juice ya karanga nitakubaliana na wewe au mtalaamu Lenie unasemaje!
Tunaipenda barabara yetu ya mawe.Mwambieni atengeneze barabara
Tunaipenda barabara yetu ya mawe.
Ni maziwa, sababu yana rangi common. Mfano maziwa ya soya, ya ng'ombe, ya nazi, na kadhalika.Kwanini yaitwe maziwa wakati ni karanga mbichi zilizosagwa?
Matumizi yake ni nini?
Ndio ni maziwaTui la nazi ni maziwa?