Maziwa Freshi

Maziwa Freshi

preciouse

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Habari wana JF, natafuta maziwa fresh ya ng'ombe kwa ajili ya kuuza. nipo Dar ni wapi nitapata kwa bei nzuri?
 
Habari wana JF, natafuta maziwa fresh ya ng'ombe kwa ajili ya kuuza. nipo Dar ni wapi nitapata kwa bei nzuri?

  • unahitaji lita ngapi kwa siku?
  • upo Dar sehemu gani
weka namba ya simu tufanye biashara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom