Ni ya ng'ombe wa nyumbani au ya kiwandani?
Wacha maswali mengi weye nunua maziwa unywe hata kama ni ya ng'ombe wa porini, au ya mama anayenyonyesha au ya nguruwe,Ni ya ng'ombe wa nyumbani au ya kiwandani?
Wacha maswali mengi weye nunua maziwa unywe hata kama ni ya ng'ombe wa porini, au ya mama anayenyonyesha au ya nguruwe,
Yote ni maziwa tu.!
Namba ya simu haipo sawa rekebisha tukutafute
Ni kwa Dar es Salaam tu. Nime editMimi wa Sumbawanga naweza pata?
Nice...biashara nzuri.
.
.
Huko kwenu maziwa ni ghali sana 2400 kwa lita? Kumbe kwetu raha lita ni 1200
Misugusugu mnaleta?
Okay. what if mtu analo dumu lake bei itapungua?Hongereni.
Bei pia imejumlisha dumu la kuhifadhia na usafiri kwa nyumbani kwako. Of course na ubora safi
Nayapataje mkuu na vipi km yamechakachuliwa?
Okay. what if mtu analo dumu lake bei itapungua?
.
.
Nimetamani mtindi ila sipo dar.