Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Hello Gentleman and ladies,
Nilikuwa na tatizo la kutokupata usingizi ,katika kupitia pita JF DOCTOR nikakuta na uzi kuhusu kikombe cha maziwa moto na kabla ya kulala kinasaidia kukupa usingizi ,kweli nimeamini ,nawashauri wale wenye tatizo la kutokupata usingizi wajaribu hii kitu.
Epuka chai , kahawa soda na vitu vyote vyenye caffeine kwani hukikeep awake hasa unapokaribia kulala ,mwisho wa kutumia vitu vyenye caffeine ni saa 10 jioni ,
NB: Hii inategemea na mwili wa mtu .Kuna mtu akitumia kimiminika chenye caffeine hamna shida.
Naomba ukitumia au kuacha hivi vitu kama umesaidika ulete mrejesho ili wengine wafaidike please.