Mazingira ya kazi acdia/voca-Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazingira ya kazi acdia/voca-Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kimla, Jun 28, 2011.

 1. K

  Kimla JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,497
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu, ningependa kupata taarifa juu ya mazingira ya kazi kwenye shirika hili la ACDIA/VOCA. Ninaelewa ni NGO ya wamarekani lakini sijui mazingira ya kazi kwa hawa jamaa. Hasa kwenye mishahara? Mafunzo kazini, usalama wa kazi nk. Naomba mwenye uzoefu unipe. Asanteni
   
 2. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ndugu kimla samahani sana naona utakuwa msaada wangu kwani nimesikiliziya vya kutosha je voca walishatoa shortlist na kama walitoa interview ilifanyika lini? maana niliomba kazi kufuatiya matangazo yao ya gazeti la mwananchi la tar 30/5/2011 hapo kwenye kitengo cha mazingira location moro lakini mpaka leo sijaona shortlist naomba unisadie kwa hilo ubarikiwe sana
   
 3. e

  evaluator Senior Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kaka tafadhari naomba utujuze,vipi washaita kwaajiri ya usail?maana niliomba post ya IT specialist
   
 4. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndugu evaluator hebu ni PM kwa namba hiyo hapo 0768600982 halafu tujuzane mkuu
   
 5. e

  evaluator Senior Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  haina tabu
   
 6. K

  Kimla JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 8, 2008
  Messages: 1,497
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Kuhusu interview sina uhakika kama wameishaanza kuita. Naamini Bado. Kama kunamtu anataarifa atujuze jamani
   
Loading...