Derspiegel
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 285
- 242
Neno Mazingira lina maana pana lakini itoshe tu kuonyesha hapa kuwa kuna mazingira ya asili (natural) na ya kutengeneza (man-made/artificial).
Mazingira ya asili yanahusisha ardhi, maji (bahari, maziwa, mito, etc) na hewa. Mazingira ya kutengenezwa ni yale yaliyotegenezwa na shughuli za binadamu yakihusisha majengo, migodi, viwanda, etc. Kwa ujumla, mazingira ya asili ndio chanzo cha maendeleo ya wanadamu na shughuli zao.
Lengo la thread hii ni kuonyesha jinsi mazingira yalivyo-shape jamii za kiafrika, hasa nchini Tanzania. Hivyo, kama nilivyoeleza awali, mazingira ya asili ndiyo yenye umuhimu mkubwa sana katika ku-shape na ku-determine uwezo wa jamii husika na ni suala linalochukua muda mrefu. Mfano, ukitaka kupima uwezo wa kiakili wa makabila ya kibantu, dhidi ya Wanegro ama Hamitis na Semites, uangalie tangu migration ya jamii hiyo kutokea Cameroon in abaout 2000 bc. Pia ukitaka kupima uwezo wa jamii yoyote ya kitanzania, pima mazingira ya jamii hiyo tangu ilipohamia eneo lao la sasa na makabila mengi ya Tanzania yalianza kuoccupy eneo la Tanzania tangu miaka ya 1000 AD.
Katika kupima jamii yenye mazingira bora ya muda mrefu, tunakuwa pia tunapima nasaba zao kwa kuwa jamii hiyo imekuwa distinctive kwa sifa tofauti na jamii nyingine.
Sifa hizi ni: mvua nyingi (hasa kati ya mm 1500 - 2000), joto la kadri (hasa digrii 25C), udongo wenye rutuba, kutokuwepo kwa magonjwa (malaria, yellow fever, sleeping sickness na bilharzia) na upatikanaji wa samaki. Aidha, kigezo kingine kikubwa sana ni racial composition ya jamii husika (yaani wabantu kuchanganyikana na aidha San, Hamites au Kushites.
Hivyo ndivyo vigezo muhimu zaidi na vinavyochukua zaidi ya asilimia 80% ya mafanikio ya jamii husika kielimu.