Mapfa A JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 250 Reaction score 260 Nov 19, 2015 #1 Habari wakuu; Kampuni tajwa hapo juu imetangaza nafasi ya Site foreman mwenye ufaulu isiopungua Grade 1 ( Civil technician) , Nimejararibu kutafuta location yake lakini sijafanikiwa kwa anayefahamu ilipo hii kampuni naomba anipe location yake .
Habari wakuu; Kampuni tajwa hapo juu imetangaza nafasi ya Site foreman mwenye ufaulu isiopungua Grade 1 ( Civil technician) , Nimejararibu kutafuta location yake lakini sijafanikiwa kwa anayefahamu ilipo hii kampuni naomba anipe location yake .
M mbalaga Member Joined Aug 19, 2013 Posts 16 Reaction score 4 Nov 20, 2015 #2 kwani hawakuweka anuani yao?jaribu kuangalia mtandaoni