hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,250
- 26,639
Huyu jamaa yale mashambulizi yote kwa Mwamposa ilikuwa WIVU
Kuna waislamu niliwaambia huyu ni muongo na mpotoshaji hata maandiko ya Biblia Amekuwa akiyapotosha na waislamu walivyo hawajui kufatilia wanamshangilia ,ila kwasisi wasomi wa Biblia tunajua hana elimu ni mpotoshaji mkubwa
Mwamposa ni tapeli anajulikana hivo, ila huyu mazinge ni wazi alikuwa anamuonea WIVU sana Mwamposa maana jamaa Amekuwa anawasomba Hadi waislamu anawauzia mafuta
Waislamu wanaenda sana kwa Mwamposa kwa kujificha ,sasa Mazinge akaanza WIVU ,akajifanya anamkemea sana Mwamposa ,ila Mwamposa wala hakumjibu
Cha ajabu kaona Bado Mwamposa anawasomba tu waislamu anawauzia mafuta ,
Mazinge kupitia kijana wake Sheikh Sharifu Firdausi wanauza mafuta ,na maji ya upako
Wanajifanya wanasomea watu visomo ,wanapiga pesa
Wanafukia vitu usiku, kesho wanajifanya wanakutolea uchawi
SASA mtu kama huyu ukisikia anasoma Aya ya biblia ujue anaipotosha kwa manufaa yake
HAWA NI MATAPELI ,
EWE MUISLAMU KATAA HAWA MATAPELI