Mazingaombwe ya Mazishi



Imani za Kichawi Waafrika ndivyo Walivyo .

Je ni waafrika tu ndiyo wana imani za kichawi? Mbona wajapani wanautumia hata kwenye sanaa za mapigano kama Ninjitsu (The Art of Ninja) !? Labda isemwe kuwa waafrika wengi wanautumia vibaya. Wamarekani matajiri, marais wake wastaafu na baadhi ya viongozi wakuu wa nchi tajiri huwa wanaenda kutambika kwenye Bohemian Grove, wachina humwaga damu ya kuku kwenye misingi ya majengo chungu nzima wanayojenga, wahindi ndiyo usiseme. Ni kawaida muhindi kuvunja nazi au tikitiki maji au kupasua ndimu kabla ya kufungua biashara. Nimeishi India na nimejionea maduka chungu nzima yana hirizi. Na maendeleo yao kiuchumi mnayaona. Na wao kuvaa hirizi ni kama wakatoliki na rozari. Hizi ni nguvu tu, unazitumiaje, hapo ndiyo shida inapoanzia.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…