Car4Sale Mazda cx5-2015

Car4Sale Mazda cx5-2015

Brown B

Senior Member
Joined
Nov 6, 2023
Posts
139
Reaction score
141
MAZDA CX5
Mwaka 2015
Engine 2180cc-Diesel
Rangi Black Metallic
Mileage 85,000km
Bei 40m

📌Winker Mirrors
☎+255626682228
IMG-20250505-WA0001.jpg
IMG-20250505-WA0008.jpg
IMG-20250505-WA0009.jpg
IMG-20250505-WA0005.jpg
IMG-20250505-WA0007.jpg
IMG-20250505-WA0004.jpg
IMG-20250505-WA0010.jpg
IMG-20250505-WA0002.jpg
IMG-20250505-WA0003.jpg
IMG-20250505-WA0006.jpg
 
Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo?
😂😂😂😂😂😂
 
Si ndo hizi gari, kuna jamaa alileta uzi akilalama inamfilisi? Au ndo amekutuma umfanyie mauzo?
😂😂😂😂😂😂
Ndo yenyewe.. analewa anagongesha huko, taa zinavunjika anaunga na super glue. Hahahahaha
 
Wachina wanauza magari mapya wabongo hatuwezi kununua. Yetu ni haya ya miaka 20 iliyopita
Mkuu ndo hayo tunauziwa milioni 20 mpk 30 kisa Kodi wakati china wanayauza mil 7 mpk 10 kwann mwekezaji asiyalete huku akayauza kwa million 12 mpk 15!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom