Mkuu nani amekushauri uuze kwa hiyo Bei??Mazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh)
Registration Year/Month - 2004/08
Odometer - Before 90,667km after check photos attached.
Displacement - 2.3CC
Serious buyer 0684811976
Dah gari tamu mpaka basi, hela tu ndio sinaMazda Atenza - for sale 9.5M (Tsh)
Registration Year/Month - 2004/08
Odometer - Before 90,667km after check photos attached.
Displacement - 2.3CC
Serious buyer 0684811976
Kwani hii ina rotor engine?Mazda atenza ni gari yenye muonekano mzuri sana(wagon na sedan) ila zikishafika km zaidi ya 100000 zinageuka na kuwa mimba, ndani ya miezi 9 utapata nazo tabu sana kabla hazijahufungua mapacha!
#ogopamazdaafter100000km#
Mazda atenza ni gari yenye muonekano mzuri sana(wagon na sedan) ila zikishafika km zaidi ya 100000 zinageuka na kuwa mimba, ndani ya miezi 9 utapata nazo tabu sana kabla hazijahufungua mapacha!
#ogopamazdaafter100000km#
Kwa Brand hiyo,Ni ndogo sana au??
Mimi sijapingana na wewe ila tu nilimuuliza mchangiaj kama gAr ina engine ya rotor maana matatizo aliyosa ni ya rotor engine na hayana tiva zaidi ya kufunga engne mpyaKaka hizo technical kwangu ni ngumu kidogo kukujibu kiufasaha. Elewa condition ya gari ipo vizuri