P Paul kimario Member Joined Jun 4, 2017 Posts 5 Reaction score 2 Jun 24, 2017 #1 Wanajamii forum napenda mnishauri kwani nataka nianze kulima kigamboni sina shamba nataka nikodi naomba kujua gharama za kukodi shamba Kuandaa , mazao yanayostawi nk naombeni mnisaidie
Wanajamii forum napenda mnishauri kwani nataka nianze kulima kigamboni sina shamba nataka nikodi naomba kujua gharama za kukodi shamba Kuandaa , mazao yanayostawi nk naombeni mnisaidie
toccara JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 540 Reaction score 203 Jun 25, 2017 #2 Paul kimario said: Wanajamii forum napenda mnishauri kwani nataka nianze kulima kigamboni sina shamba nataka nikodi naomba kujua gharama za kukodi shamba Kuandaa , mazao yanayostawi nk naombeni mnisaidie Click to expand... Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10
Paul kimario said: Wanajamii forum napenda mnishauri kwani nataka nianze kulima kigamboni sina shamba nataka nikodi naomba kujua gharama za kukodi shamba Kuandaa , mazao yanayostawi nk naombeni mnisaidie Click to expand... Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10
HERODE WA TANZANIA Member Joined May 21, 2016 Posts 74 Reaction score 46 Jun 25, 2017 #3 toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... Laki moja kwa heka moja au? na linafaa kwa kilimo kp?
toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... Laki moja kwa heka moja au? na linafaa kwa kilimo kp?
toccara JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 540 Reaction score 203 Jun 25, 2017 #4 PETER NGHUMBA said: Laki moja kwa heka moja au? na linafaa kwa kilimo kp? Click to expand... Laki kwa heka, kilimo chochote isipokuwa vitunguu, tangawizi, cabbage nilishawahi kulima ila hazikutoka vizuri
PETER NGHUMBA said: Laki moja kwa heka moja au? na linafaa kwa kilimo kp? Click to expand... Laki kwa heka, kilimo chochote isipokuwa vitunguu, tangawizi, cabbage nilishawahi kulima ila hazikutoka vizuri
tulu Senior Member Joined Aug 30, 2016 Posts 197 Reaction score 145 Jun 27, 2017 #5 toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... Linafaa kwa kilimo gani mkuu
toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... Linafaa kwa kilimo gani mkuu
tulu Senior Member Joined Aug 30, 2016 Posts 197 Reaction score 145 Jun 27, 2017 #6 Alzeti linastahili,tupia hapa namba zako basi
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,866 Jun 27, 2017 #7 toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... punguza bei mkuu fanya 50 unipe hekari tatu
toccara said: Nina shamba kigamboni mwasonga nakodisha msimu moja kwa laki moja lina maji na walinzi, kwa sasa zimebaki heka 10 Click to expand... punguza bei mkuu fanya 50 unipe hekari tatu
kwame nkuruma jr JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 301 Reaction score 640 Jun 27, 2017 #8 Yerrico Nyerere mkazi wa Mbutu njooo utoe ufafanuzi huku
toccara JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 540 Reaction score 203 Jun 28, 2017 #9 tulu said: Alzeti linastahili,tupia hapa namba zako basi Click to expand... Si dhani kama Kuna mkulima hapa
tulu said: Alzeti linastahili,tupia hapa namba zako basi Click to expand... Si dhani kama Kuna mkulima hapa
toccara JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 540 Reaction score 203 Jun 28, 2017 #10 Miss Natafuta said: punguza bei mkuu fanya 50 unipe hekari tatu Click to expand... Ingekuwa vizuri ungekuja kuona eneo lenyewe ukiridhika tutaongea
Miss Natafuta said: punguza bei mkuu fanya 50 unipe hekari tatu Click to expand... Ingekuwa vizuri ungekuja kuona eneo lenyewe ukiridhika tutaongea