Unaweza kuongelea mwanza mwaloni bila kuweka samaki?
Nimeipenda pia ila naona wauzaji ndio wawe wanaweka bei yao ya mwisho ya uuzaji na si bei yao ya ulanguzi kwa mfano kama dagaa bei ya mwisho 2500 basi hiwe 2500..sio hapa inaonekana 2500 ukienda kwenye soko unakuta bei ya mwisho 1800..
Wauzaji waweke bei zao za mwisho na mawasiliano yao.
Pia kuwepo na mfumo wa malipo ya electronics.
Bei za matunda hujaweka
You have a cool idea. Ngoja nitaicheki baadae tena nitoe mchango mzuriHabari wanaJF, naomben maon yenu kuhusiana na website hii
http://masoko.byethost5.com/index.php
Kiongoze nn au kipunguze nn .
Asanteen, busara itumike kwenye kutoa ushauri tafadhali...