Mayweather aka Moneyweather

Shine;
Wewe mwongo maywether katata dola mill 45.7 huku dogo akipata dola mill 6.4



Mkuu, Nyanidume yuko right! Hiyo 45.7 Mil ilikuwa ni guaranteed yaani ndio fee yake ya pambano, lakini pia Mayweather ana mgao wake kwenye mapato yanayotokana na mauzo ya reja reja ya kuona pambano (pay-per-view) ndio maana kapata zaidi.
 

Mkuu hueleweki, umri?
Anyway Maywether sio mtaalamu wa KO, ni bingwa wa kujilinda na kudokoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…