Mayor Alnaldo Adiyente Torilo

Mayor Alnaldo Adiyente Torilo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,165
Reaction score
24,544
Huyu mayor kwa sasa ana hali mbaya sana huku mzee adiyente anazidi kumwamini bi ayvi aguas


Emilia naye na rahul aka jaguar mambo ni moto

Daaah huyu jamaa alnado anatia huruma kichizi

Mayor mgombea ugavana kwishney


Huku diego,kamia cruz,na lily cruz aka ayv[emoji23][emoji23]

Bado emilia hajamalizana na jaguar[emoji23][emoji23]
 
Hahaha kwaio mkuu na wewe unaichekigi ile tamthilia?
 
Back
Top Bottom