The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Majini Fc...mmepigwa kwenye mshono
Kwahiyo mlitaka akae kimya ? Ngoja aseme , ukweli humuweka mtu huru . MAJINI FC .Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge babaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki...
Mtani hao ni wa kwenu hatushei 😂Leo Tumewapa Jini Moja Liwasaidie Kupata Point Tatu Thidi Ya Geita Mtushukuru Sasa Mtani.
Mtani hao ni wa kwenu hatushei [emoji23]
Majini fc vichwa wazi.Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge babaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni yao tunamtakia Kheri Ila tunamlumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu akitafta aibu ipo malangoni pake ataipata mda siyo mrefu
Mkumbusheni kwqmba sisi Yanga ya 2024 hatuna muda kumpa Kiki tuko imara kama JK na siyo PK Wala EL katika ramani ya EA na hatutalipa kiksasi sababu siyo desteri yetu tulimpa ajira Kama waajiriwawengine hivyo yeye siyo special Bali atafute uwanjani Kama waajiriwa wengine ndani na nje ya uwanja sisi Kama Yanga Taasisi hatutazungumzia Mambo personal ya mwajiriwa wetu hadharani tumekuwa kila idara.
Mayele anajenga mazingira ya kurudi TZ aende azam,yan sababu ya kusema viongozi wanamsema eti kuna kiongozi wa azam kamuambia kuna kiongozi wa Yanga alimuambia pyramid afungi,yan kaambiwa na mtu wa azam kuhusu kiongozi wa Yanga!nilijua iko kitu kaambiwa face to face na huyo kiongozi!Kwahiyo mlitaka akae kimya ? Ngoja aseme , ukweli humuweka mtu huru . MAJINI FC .