Maybe our Speaker never expected this

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,916
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile

Ameimbiwa wimbo wa Tanzania
naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
Your browser is not able to display this video.
 
Ushamba usahamba ushamba, yaani kutembea kote huko duniani kila.mara bado hawajifunzi tu??

Utadhani Ngumbalo....hahahaaaa. Akili sijui zimeganda??
 
hakuhitaraji = hakuitarajia
Mwimbo. = wimbo

Achana na spika jifunze lugha kwanza
 
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Muzungu = Mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…