Maybe our Speaker never expected this

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,605
696,697
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa wimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa unapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuhitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameumbiwa mwimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...
View attachment 1172338
Ushamba usahamba ushamba, yaani kutembea kote huko duniani kila.mara bado hawajifunzi tu??

Utadhani Ngumbalo....hahahaaaa. Akili sijui zimeganda??
 
Spika anapaswa kufunzwa Diplomatic etiquette hasa anapokuwa ugenini...
He was not comfortable na treatment aliyopewa labda hakuhitarajia (hakufanya preparations za kutosha)
Amepewa maua ameanza kuyashangaa badala ya kushukuru plus smile
Ameimbiwa mwimbo wa Tanzania naye ameanza kuchukua kwa kisimu chake... as if hajui kuwa kwa level yake kila kitu kitarecordiwa...View attachment 1172338
hakuhitaraji = hakuitarajia
Mwimbo. = wimbo

Achana na spika jifunze lugha kwanza
 
Usikute hapo Wachina wenyewe hayo yoote ulioyaandika na kuyaona wewe wala hawakuyaona.

Acheni kufanya maisha yawe magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, hata huyu Muzungu hayuko hivyo mnavyomdhania.
Muzungu = Mzungu.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom