Maybe am to soft for it 🥺

Lenin23

Senior Member
Feb 9, 2022
138
218
Dah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri

Yah baada ya hili tukio la Leo nmejifungia ndani , inside my room nmelia , i mean i cried a lot , i had to rethink my decisions

They say big boys don't cry ,but don't Big boys have hearts?

Or is it that I'm too soft for it?
But why do I believe myself to be one among these brave minds of this generation and yet feels so weak

I feel sorry for myself that Iam in this big living lie , i question

Je sikua ready for this big authority? I as well question it

I'll not disclose everything in this thread but surely i tell you people today it was one among these worst heart breaking moment for me , it really was i mean it broke my heart 💔

Iko ivi tunajua swala la ajira kwa vijana ni changamoto sana lakini kama kuna mwajili yoyote anaesoma hapa please be impartial, never entertain favoritism kwa hali yoyote Ile

Long story short ni kwamba vijana wanapambana sana msiwakatishe tamaa wapeni nafasi , msiwaforce wapate achievement kwa nguvu

This favoritism things kwenye taasisi za serikali Au private companies will never take us anywhere, I'll never look at my senior chief the same way ever again🥺
 
Dah , weeping is not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri

Terminated right?
 
I'll not disclose everything in this thread but surely i tell you people today it was one among these worst heart breaking moment for me , it really was i mean it broke my heart

Iko ivi tunajua swala la ajira kwa vijana ni changamoto sana lakini kama kuna mwajili yoyote anaesoma hapa please be impartial, never entertain favoritism kwa hali yoyote Ile

Long story short ni kwamba vijana wanapambana sana msiwakatishe tamaa wapeni nafasi , msiwaforce wapate achievement kwa nguvu

This favoritism things kwenye taasisi za serikali Au private companies will never take us anywhere, I'll never look at my senior chief the same way ever again

Tukio gan mkuu
 
Mitaa imetulea ila sasa inatusaliti sana....hizi ajira zenyewe tunanyanyaswa na maboss...huku mtaani wadada wamepoteza ile thamani yao kabisa....wameamua kutumia viungo vyao vya uzazi kujipatia rizikiso sad.

ugumu wa maisha sasa hivi unafanya hadi upendo umepotea kabisa....tulipo fikia ni pabaya mno..sijui huko tuendako itakuaje
 
hadi wewe bruh 😂
 
Mtanisamehe sana kwa uandishi mbovu
Lakini nipo Katika position ya kuwajili vijana wenzangu, napowafanyia dialogue assessment wengi wanastand their grounds wanafanya vzuri,

Each time i see deep inside their eyes , these people
These people went through a lot i can tell, wengine wanashindwa even to afford nauli , but at end wengi wao wamefanya vzuri lakini sura zinazokuja kuaoneka kwa Final pdf hata majina sijawai yaona

Kinachoumiza is to listen to these brave fighting soul , while deep down i know it's all a lie , a job position will be given to my boss nieces and nephews damn this world is not fair

Inshort Iam living my boss lies and this makes me feel bad about myself favoritism is a disease.

Tukio gan mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom