Maybe am to soft for it 🥺

Congrats mkuu
 
Sijaona sehem ameandika amepigwa chini japo kingeresa sijui
Mi nafikiri anasema yupo kwenye position ya kuajiri watu( vijana wenzake) anasema wanajibu vizuri lkn wanaoajiriwa ni ndugu za maboss,na yy alipitia njia hiyo hiyo( favouritism)
 
Kulia hakusaidii kitu amkaa kapambne fitina kazini hakujaanza leo yalikuepo na yametukost had kukoza muelekeo ila ss tuko imara sanaa
 
Nilidhani watu wangejielekeza kwenye uzi kuleta suluhu ya huu ushetani kumbe wanamshambulia mtoa uzi. Hii inainesha dhahiri hao ndio wale wahusika wanaofanya favouritism na kuwachinjia baharini mafukara. Siku ya Hukumu yenu iko. Inawaotea mlangoni.
 
Dah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…