Mademoiselle you have my ears and my full attention, kindly go aheadDo you wanna hear my piece of mind. I need your go ahead to tell you something that could help you in your journey...
Kaelezea hapo walikua kwenye mchakato wa kuajiri vijana kwa company yao,
Interviewees wamejieleZa vizur na kujitetea haswa na wanaonyesha kua na potential,ila mwisho wa siku kuajiri boss wake kaleta watu tofauti kabisa ya waliofanya usaili.
Wapwa,binamu and the like,kwa kifupi ni undugulization bila kukidhi vigezo. Ndo kinachomuuma.
Mleta mada yeye hataki kazi , anafanya kazi sehemu anahurumia vijana wenye uwezo wa kifanya kazi ila hawapewi kazi, kazi wanapewa ndugu ambao hata hawakupita kwenye mchakato wa kuajiri.Mm ni miliki wa kampuni flan ila ni darasa la saba Sasa unadhani sote tulio na nafasi ya kusaidia watu Kama ww tunajua kidhungu.?
Thanks for the permission. Irrespective of your Belief/ Religion, every stuff about Work/Carrier/Business..or lets say Economy, is mysteriously connected to our Faiths. For your case, its about your Career. You had a Vision, Hope and Expectation that something great is coming..but guess what 🥱...disappointment😐.Mademoiselle you have my ears and my full attention, kindly go ahead
I'm listening 🙏
Hata mimi nimelia.. Inauma anayestahili haki kunyimwa unamnyima mtu haki wakati ndio ilikuwa tiketi ya mwisho ya maisha yake. Then unaenda mpa kazi mtoto wa uncle/auntie ambae hata kuapply hajaaply. Niliiona sana kwenye sensa.Mtanisamehe sana kwa uandishi mbovu
Lakini nipo Katika position ya kuwajili vijana wenzangu, napowafanyia dialogue assessment wengi wanastand their grounds wanafanya vzuri,
Each time i see deep inside their eyes , these people
These people went through a lot i can tell, wengine wanashindwa even to afford nauli , but at end wengi wao wamefanya vzuri lakini sura zinazokuja kuaoneka kwa Final pdf hata majina sijawai yaona
Kinachoumiza is to listen to these brave fighting soul , while deep down i know it's all a lie , a job position will be given to my boss nieces and nephews damn this world is not fair
Inshort Iam living my boss lies and this makes me feel bad about myself favoritism is a disease.
Anaumwa huyo. Wewe upewe kitengo cha kuajiri halafu uwaache ndugu zako wanaokota siso kitaa na wana vyeti hata kama uwezo wao wa kaz ni dhaifu. Ukipata kitengo wape kazi ndugu zako. Siku umezidiwa wafanyakazi wenzio watafanya kwa nafasi yao ila yakiwazidi watasema "watafuteni ndugu zake". Nini maana ya kupata kitengo sasa kama unawaacha ndugu zako hohe hahe eti unafuata haki! Haki which? Hata mm ningeweka ndugu zangu.Kaelezea hapo walikua kwenye mchakato wa kuajiri vijana kwa company yao,
Interviewees wamejieleZa vizur na kujitetea haswa na wanaonyesha kua na potential,ila mwisho wa siku kuajiri boss wake kaleta watu tofauti kabisa ya waliofanya usaili.
Wapwa,binamu and the like,kwa kifupi ni undugulization bila kukidhi vigezo. Ndo kinachomuuma.
Wamama na wadada ndio wanaojua hali halisi ya vijana maana ndio wanaopika migahawa wanaoshinda majumbani.. Hali ni tete. Huyo kijana innocent mwenye njaa ya kufa akikutana na mwanamke mwovu mwenye mgahawa tayari keshamuua.Pole sana na situation unayokumbana nayo.
Duh huku mtaani sio poah kwa kweli.
Punguza nyenyeeDah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri
Yah baada ya hili tukio la Leo nmejifungia ndani , inside my room nmelia , i mean i cried a lot , i had to rethink my decisions
They say big boys don't cry ,but don't Big boys have hearts?
Or is it that I'm too soft for it?
But why do I believe myself to be one among these brave minds of this generation and yet feels so weak
I feel sorry for myself that Iam in this big living lie , i question
Je sikua ready for this big authority? I as well question it
I'll not disclose everything in this thread but surely i tell you people today it was one among these worst heart breaking moment for me , it really was i mean it broke my heart 💔
Iko ivi tunajua swala la ajira kwa vijana ni changamoto sana lakini kama kuna mwajili yoyote anaesoma hapa please be impartial, never entertain favoritism kwa hali yoyote Ile
Long story short ni kwamba vijana wanapambana sana msiwakatishe tamaa wapeni nafasi , msiwaforce wapate achievement kwa nguvu
This favoritism things kwenye taasisi za serikali Au private companies will never take us anywhere, I'll never look at my senior chief the same way ever again🥺
Kila mtu at a certain point tuliyewahi kumsikia kwenye historia/tunaemjua yuko juu kwa sasa ivi ili Kuendelea kua juu itadepend na maisha unayoishi la sivyo kushuka utashuka tuu.Punguza nyenyee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unabaka uzi..[emoji1787]
Matraaacre huyu. Mwanaume unalialia! Kweli? Anauaibishq uananume wetuNdio maisha hakuna haja ya kulia lia maana haisaidii kitu.Dunia haina huruma hii
KUna time ile naamka sina 10 ila mishe haziend hata kunywa chai alio andaa wife home asubh unaona aibu unaamua kutoka tu kimya kimya machozi yanavujia ndani ila usoni tabasamu unajipa moyo kwenda kupambana..Sasa kukaa kulia lia inasaidia nini??Matraaacre huyu. Mwanaume unalialia! Kweli? Anauaibishq uananume wetu
Matraaacre tu huyu. Halafu kuna watu wanam backup. Mwanaume haliiKUna time ile naamka sina 10 ila mishe haziend hata kunywa chai alio andaa wife home asubh unaona aibu unaamua kutoka tu kimya kimya machozi yanavujia ndani ila usoni tabasamu unajipa moyo kwenda kupambana..Sasa kukaa kulia lia inasaidia nini??
Vimtu vya hivi ndio vimelelewa kwenye maisha ya kudekadeka ovyo ovyo tu. Siku kikikutana na shida kinaona ndio mwisho wa dunia. Hata kikikataliwa na mwanamke tu kinataka kujiua. Vimtu vya ovyo ovyo tu. Hivijui kuzaliwa mwanaume ni nini.KUna time ile naamka sina 10 ila mishe haziend hata kunywa chai alio andaa wife home asubh unaona aibu unaamua kutoka tu kimya kimya machozi yanavujia ndani ila usoni tabasamu unajipa moyo kwenda kupambana..Sasa kukaa kulia lia inasaidia nini??
Exactly the point, naona wasiwe wanatangaza nafasi zao za kazi, especially kama wanajua kabisa zina wenyewe saabu ni usumbufu mkubwa sana, even emotionally.Especially wengi wao wanatoka mikoani, wengine wanakosa mpaka nauli za kurudia na watoto juu migongoni mwao trust me nashindwa hata kuwaangalia machoni ata nikisema niwasaidie my own company bado changa it doesn't generated enough revenue to pay a lot of people
At least basi hi company isingekua ina announce job position because people are coming from different diversities hoping to make their life better but at the end it's all a lie.
Huoni hapo ni kuua polepole kampuni ikitokea unaweka hao ndugu bila vigezo?Anaumwa huyo. Wewe upewe kitengo cha kuajiri halafu uwaache ndugu zako wanaokota siso kitaa na wana vyeti hata kama uwezo wao wa kaz ni dhaifu. Ukipata kitengo wape kazi ndugu zako. Siku umezidiwa wafanyakazi wenzio watafanya kwa nafasi yao ila yakiwazidi watasema "watafuteni ndugu zake". Nini maana ya kupata kitengo sasa kama unawaacha ndugu zako hohe hahe eti unafuata haki! Haki which? Hata mm ningeweka ndugu zangu.
Mtoa mada akae kwa kutulia
Be cool 😎 ni kwamba the only thing is that to be humble..............Dah , weep not child aliwai sema mwandishi mmoja mashuhuri