Maybe am to soft for it 🥺

Kingereza chote hiki umepigwa chini! Au basi.
 
Pole sana na situation unayokumbana nayo.

Duh huku mtaani sio poah kwa kweli.
 
Do you wanna hear my piece of mind. I need your go ahead to tell you something that could help you in your journey...
 
Sijaona sehem ameandika amepigwa chini japo kingeresa sijui
Sasa kilialia kote kwann mtoto wa kiume unajing'atang'ata ulimi kwa vingereza. Tuu softiiii, komaa dingii
 
Mm ni miliki wa kampuni flan ila ni darasa la saba Sasa unadhani sote tulio na nafasi ya kusaidia watu Kama ww tunajua kidhungu.?
 
nyie mnao lalama na kingereza ebu piteni kushoto, karne hii hiko kingereza ni kama kimakonde tu (haakina maajabu) Kama unaona huelewi pita kimya kimya
 
Ndio maisha hakuna haja ya kulia lia maana haisaidii kitu.Dunia haina huruma hii
 
Manaake hapo kwanza ncheke. Sijaelewa vizuri hasa unacho kilalamikia ila sikiliza boy, kama wewe ni crying big boy, andaa machozi ya kutosha. LIFE is full of disappointment and this IS JUST THE BEGINNING.
 
Kingereza chote hiki umepigwa chini! Au basi.
Kaelezea hapo walikua kwenye mchakato wa kuajiri vijana kwa company yao,
Interviewees wamejieleZa vizur na kujitetea haswa na wanaonyesha kua na potential,ila mwisho wa siku kuajiri boss wake kaleta watu tofauti kabisa ya waliofanya usaili.
Wapwa,binamu and the like,kwa kifupi ni undugulization bila kukidhi vigezo. Ndo kinachomuuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…