Mfano wake Utoke Stesheni Bus stand hadi kivukoni bus stand Ndo umbali uko hivo ila tu barabara hii ya kilwa road uzuri imenyooka alafu hapo wanapouza mayai pawe St.Joseph kanisa.(Nadhani huu mfano utakuwa rahisi sana) sina nilijualo lingine
Dah...siku ikifika...bidhaa ikatoka kwa mzalishaji na kwenda kwa mlaji moja kwa moja...bila kupitia kwa huyu mlanguzi...mnyonyaji...mpanga bei...mvivu...mlaliaji.....tutakuwa tumepiga hatua muhimu ya uchumi wetu....