Dah...siku ikifika...bidhaa ikatoka kwa mzalishaji na kwenda kwa mlaji moja kwa moja...bila kupitia kwa huyu mlanguzi...mnyonyaji...mpanga bei...mvivu...mlaliaji.....tutakuwa tumepiga hatua muhimu ya uchumi wetu....
Juzi nimeenda Mtoni nimeshangaa tray wanauza 5,000- 6,000 tena unachagua
Mtoni ni wapi tuelekeze tafadhali
Aiseee huku bei bado 8000-7500
Magari ya mbagala ndio kuna kituo cha mtongani?
Dah...wakafuge na wao...siyo wanampangia mfugaji bei ya kununua....halafu wanampangia mlaji bei ya kumuuzia....Bora hata wangekuwa wanatengenezea chips yai angalau wangeongeza thamani. Huko mbele kutokana na kukua kwa teknolojia...tayari madalali wameanza kuzisoma...walaji wengi wameanza kununua moja kwa moja kutoka kwa mzalishaji. Itafika na huku na mtazisoma tuNa hao wa kati wale wapi?
Ohhhh kwa hiyo kama Mimi nipo kimara nikifika mawasiliano nipande magari ya mtoni mtongani si ndiomagari yapo yanaenda mtongani pale pale na yapo yanayoenda mbagala unashukia mtongani, tena ukiwapata wale wakurya ndiyo vizuri.
Mi niko around na Mtongani ni mtaa gani wanauza bei hiyo kwa hizo tray maana ukosema wakurya si mpaka uwagumie na baiskeli zao naomba msaada zaidi tafadhari,kichangani,kwa kabuma,bokorani,madafu,juhudi,soko mjinga,kizinga,mashine ya maji,msikitini au wapi ndugu yangu?.AhsantehMkoa - Dar es salaam
Wilaya -Temeke
Kata- Mtoni Mtongani
Wakurya kila siku wanapitisha na baiskeli
Tray 5,000 - 6,000
Moja 200 - 250
Hata kwenye maduka huko Mtongani wanauza hivyo hivyo.
Mi niko around na Mtongani ni mtaa gani wanauza bei hiyo kwa hizo tray maana ukosema wakurya si mpaka uwagumie na baiskeli zao naomba msaada zaidi tafadhari,kichangani,kwa kabuma,bokorani,madafu,juhudi,soko mjinga,kizinga,mashine ya maji,msikitini au wapi ndugu yangu?.Ahsanteh
Ilikuwa lini ..... .Mimi sio mkazi wa huko hata majina uliyoorodhesha hapo siyajui, nilienda kutembea wakapita hao wakurya kuuliza nikaambiwa tray 6,000 nikichukua tray nyingi bei inapungua ...nikitaka moja moja 200.
Nikamuuliza mwenyeji wangu maana kwangu ilikua bei cheap akasema ndiyo bei zao nikitaka dukani wao wanauza 250.
Mtongani upande wa kulia ukiwa unatokea kwa Azizi Ally.... unaingia mtaani huko.
Kama ni mwenyeji utajua panaitwaje.
Ilikuwa lini ..... .
Anhaa ni kwa kabuma Mkuu inapakana na Bokorani.Mimi sio mkazi wa huko hata majina uliyoorodhesha hapo siyajui, nilienda kutembea wakapita hao wakurya kuuliza nikaambiwa tray 6,000 nikichukua tray nyingi bei inapungua ...nikitaka moja moja 200.
Nikamuuliza mwenyeji wangu maana kwangu ilikua bei cheap akasema ndiyo bei zao nikitaka dukani wao wanauza 250.
Mtongani upande wa kulia ukiwa unatokea kwa Azizi Ally.... unaingia mtaani huko.
Kama ni mwenyeji utajua panaitwaje.
Anhaa ni kwa kabuma Mkuu inapakana na Bokorani.
MTU akifika mtongani anapanda gari ngingine au inakuwa je?Anhaa ni kwa kabuma Mkuu inapakana na Bokorani.
Napatikana bananaMkuu unapatikana sehemu gani?
Juzi nimeenda Mtoni nimeshangaa tray wanauza 5,000- 6,000 tena unachagua
Mtongani na kwa azizi ally kati kati ya Mkuu na Mtongani na kwa azizi ally ni umbali kama metre 300-400 ko ukishuka Mtongani utafanya kama unaenda tena Mjini na assume umetokea mjini una ambaa na upande huo huo uloshukia ukiuliza kuhusu hizo ishu za mayai nazani utapata muongozo vizuri.MTU akifika mtongani anapanda gari ngingine au inakuwa je?