Mayai

Happiness1

Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
49
Reaction score
26
Nahitaji mayai ya kisasa kutka kwa mfugaji mwenye nayo tuwasiliane nipo Dar Kimara mwisho 0757277543
 
Mimi ni mnunuaji
I thought unaweza kunielekeza duka lenye hiyo bei
Walau ninunue kwa bei nafuu

Juzi nimeenda Mtoni nimeshangaa tray wanauza 5,000- 6,000 tena unachagua
 
Dah...siku ikifika...bidhaa ikatoka kwa mzalishaji na kwenda kwa mlaji moja kwa moja...bila kupitia kwa huyu mlanguzi...mnyonyaji...mpanga bei...mvivu...mlaliaji.....tutakuwa tumepiga hatua muhimu ya uchumi wetu....[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…