Habari zenu ndugu zangu.
Nahitaji ufafanuzi kuhusu Soko la mayai ya kienyeji na maelezo sahihi juu ya mkoa/mahali yapopatikana kwa wingi.
Naomba kuwasilisha
kama unasoko la kutosha niko Iringa we toa order utakua unahitaji kiasi gani kwa wiki au siku... tuanze ufugaji chap..! nakua nakusanya unayohitaji nakutumia tu... pure kienyeji bei 400.