Mayai ya Kuku Chotara yanauzwa

Mayai ya Kuku Chotara yanauzwa

Swordfisher

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
233
Reaction score
37
Nauza Mayai yenye mbegu ya Kuku Chotara kwa ajili ya kutotolesha trei 6. Bei: 12000 kwa trei. Mwenye kuyahitaji ani PM
 
Ingekuwa kuku wenyewe nadhani ingekuwa safi sana ila sasa mayai...........
Daaah....
Enewei, Biashara imani
 
mkuu mimi natafuta vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili?
 
mkuu mimi natafuta
vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia
vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili?

Vipo vya wiki 1 vilivyochanjwa Mulex tayari. Vinauzwa kwa sh. 2500. Kuku hawa wanachukua miezi sita kufikia kuwa kuku waliokomaa.
 
nahitaj hayo mayai nina machine ya incubator naishi maeneo ya buza, nichek on 0715226198
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom