Mayai ya kisasa tray 100 yanauzwa

Win

Member
Feb 3, 2012
33
13
Mayai ya Kisasa yanapatikana kwa wingi Jumla na rejareja ( Jumla ni kuanzia trei 70). Tuma meseji kwenye inbox tuwasiliane.

Jumla 7000 -7500 kwa tray, 8000 bei ya rejareja
 
Mkuu tufanye biashara endelevu ila me npo mkoa fulani kama vipi nipe mawasiliano yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom