kido54 Member Joined Jun 27, 2017 Posts 23 Reaction score 9 Feb 4, 2018 #1 Kwema ndugu zangu. Naomba kupata update za wapi nitapata muuzaji wa jumla.wa mayai ya kisasa. Nahitaji kuingia kwenye hiyo biashara. Napatikana tabata. Thank u
Kwema ndugu zangu. Naomba kupata update za wapi nitapata muuzaji wa jumla.wa mayai ya kisasa. Nahitaji kuingia kwenye hiyo biashara. Napatikana tabata. Thank u