Mayai ya kisasa 5500 kwa trei moja

Mayai ya kisasa 5500 kwa trei moja

rojonti

Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Mayai ya kisasa kwa bei ya 5500 karibuni sana.
Mawasiliano ni no.0767589656
IMG_20161020_180901.jpg
 
Kilimo na ufugaji ni ngumu sana
Wafugaji sijui kama huwa wanapata faida maana kila siku bei ya mayai inashuka kwa kasi ya mwendo kasi
 
ungetaja ulipo ingewarahisishia wateja watarajiwa mimi nikiwa miongoni mwao
 
Napatikana Maeneo ya mlimani city tuwasiliane ili kesho uje mpaka ofisini kwetu
Kama ukitaka ukaangiwe na mayai matano ule kisha ubebe unayohitaji kuondoka nayo
Nipo Mkoan, Lakin Nayahtaj...Itawezekana??
 
Back
Top Bottom