elnino
Member
- Feb 14, 2014
- 75
- 26
Nimerudi tena wana JF kwenye jukwaa letu pendwa, baada ya kupost uzi wangu Mayai ya kienyeji (fresh) kwa afya nilipata watu wengi sana ambao mpaka leo wanatumia mayai fresh ya kienyeji kutoka shambani kwangu.
Habari njema ni kwamba, mayai ya kienyeji ( fresh) bado yanapatikana kwa watu wote wenye kujali afya zao.
KARIBUNI SANA...!
Habari njema ni kwamba, mayai ya kienyeji ( fresh) bado yanapatikana kwa watu wote wenye kujali afya zao.
- 1 Tray (Mayai 30) - Tshs 15,000/=
- Nusu Tray (Mayai 15) - Tshs 8,000/=
- Mayai ni fresh yaliyotagwa ndani ya masaa 48 (siku 2),
- Unaletewa popote ulipo ndani ya DSM na kwa idadi yoyote ile utakayo order,
- Shamba lipo Bunju B - Mabwepande, Km 4.5 kutoka Bagamoyo road,
- MAWASILIANO +255 756 087 894.
KARIBUNI SANA...!
Attachments
-
IMG_20180412_155141.jpg128.5 KB · Views: 63 -
IMG_20180412_155804.jpg39.1 KB · Views: 67 -
IMG_20180413_173241.jpg155.9 KB · Views: 63 -
IMG_20180413_173522.jpg82.9 KB · Views: 59 -
IMG_20180413_174250_757.jpg73.8 KB · Views: 59 -
IMG_20180413_174328_053.jpg78 KB · Views: 66 -
IMG_20180413_180040.jpg73.6 KB · Views: 68 -
IMG_20180413_175449.jpg157.4 KB · Views: 58