Mayai ya Kanga yanahitajika

Mayai ya Kanga yanahitajika

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
Wakuu habari! naitaji mayai ya kanga kwa ajili ya kutotolesha nipo dar es salaam.Ni pm au weka namba yako nitakucall kama unayo
 
Wakuu haya mayai bado yanahitajika
 
Sema kiasi gani unahitaji, kanga pori au wa nyumbani anayefugwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom