wakuu mambo vipi? nauza mayai ya kware trei moja elf 15 tu unaweza nicheck kwa namba 0772 001745
Je hiyo tray ina mayai mangapi?
Kama idadi yake ni standard 30, kwa maana hiyo unauza yai moja kwa shilingi 500, basi hiyo itakuwa biashara 'kichaa'
Ok ntakutafuta unapatikana mkoa gan