CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mayai kucheza...mmmh! ngoja wenzangu watangulie, maana naona hili lilinipita darasani. Ila mayai ya mwanamke hutuzwa kwenye Ovary yakiwa bado hayajapevuka, kila mwezi hupevuka yai moja (mara chache zaidi ya moja) na hilo hutolewa ili lirutubishwe. Mwanamke ana Ovaries mbili..kushoto na kulia mwa kizazi, kwa kawaida kwenye eneo la kinena kuna kizazi na kibofu cha mkojo..sasa sijui kinachocheza cheza ni kipi kati ya hivyo viwili, lakini Ovaries zipo pembeni mwa kinena pande zote mbili!
Mkuu ZeMarcopolo hebu mpitie dada King'asti mkuje pande hizi.....
ngoja nizae aisee...mficha uzi hazai etimayai kucheza ..!!? hapana...ila tu mwanamke akikaa muda mrefu bila kuzaa... anakuwa kwenye risk ya kupata -fibroid(uvimbe kwenye kizazi)
....Yap smile kuanzia atleast 26 to 35 yrs unatakiwa ufanye mambo hapo(ukicheki maisha ya sasa)...lakini pia risk maranyingi inaonekana kwa wale ambao anazaa motto alafu anakaa muda mrefu(lets says) 10 yrs bila kuzaa tene....though siku hizi natural history ya fibroid imebadilika...tunaona hata mabint wadogo wanaanza kupata...(though still rare cases)ngoja nizae aisee...mficha uzi hazai eti
i promise next year mwezi kama huu nitakuwa mjamzito kakangu...maisha tu....Yap smile kuanzia atleast 26 to 35 yrs unatakiwa ufanye mambo hapo(ukicheki maisha ya sasa)...lakini pia risk maranyingi inaonekana kwa wale ambao anazaa motto alafu anakaa muda mrefu(lets says) 10 yrs bila kuzaa tene....though siku hizi natural history ya fibroid imebadilika...tunaona hata mabint wadogo wanaanza kupata...(though still rare cases)
....yah smile ndo maana nkasema maisha ya sasa...yamekaa kimtego mtego sana...ila mipangilio tu..i promise next year mwezi kama huu nitakuwa mjamzito kakangu...maisha tu
bora uwe na mtoto kuliko mume aisee....yah smile ndo maana nkasema maisha ya sasa...yamekaa kimtego mtego sana...ila mipangilio tu..
.....wewe smile wewe bana....unatakiwa ujitahidi kujenga famila ..(mtoto/ watoto/ mume na wewe) au unaogopa majukumu ya ndoa...!?kuwa na famila nayo inafaida zake nyingi sana...bora uwe na mtoto kuliko mume aisee
mume sijui kama nitaweza ..sijaona mwenye kunifaa...ila wa kuwa baba mtoto nawaona........wewe smile wewe bana....unatakiwa ujitahidi kujenga famila ..(mtoto/ watoto/ mume na wewe) au unaogopa majukumu ya ndoa...!?kuwa na famila nayo inafaida zake nyingi sana...
Asante mkuu.... Je kuna madhara gani mama akimaliza zaid ya 10yrs bila kupata mtoto tangu uzazi ulipita??
Mayai kucheza...mmmh! ngoja wenzangu watangulie, maana naona hili lilinipita darasani. Ila mayai ya mwanamke hutuzwa kwenye Ovary yakiwa bado hayajapevuka, kila mwezi hupevuka yai moja (mara chache zaidi ya moja) na hilo hutolewa ili lirutubishwe. Mwanamke ana Ovaries mbili..kushoto na kulia mwa kizazi, kwa kawaida kwenye eneo la kinena kuna kizazi na kibofu cha mkojo..sasa sijui kinachocheza cheza ni kipi kati ya hivyo viwili, lakini Ovaries zipo pembeni mwa kinena pande zote mbili!
Mkuu ZeMarcopolo hebu mpitie dada King'asti mkuje pande hizi.....
But nimeshakutana na case moja mtu alikuwa na fibroid. The pounding pain ilichukuliwa kama 'kudunda'? Na huyu anaongelea interval kati ya mtoto mmoja na mwingine. Nadhani inaweza kuwa fibroids?
...sema labda wewe utakuwa umeweka vigezo vikubwa...au social cycle(niche) kwenye maisha yako inakuogopesha...mimi naona kuna watu wengi sana wapo...ukiwa makini wapo....kama mm kuna kipindi nlikuwa na social cycle ambayo sio nzuri...nikawa najiuliza ntapata mwanamke wa kuoa kweli......lakni sasa hivi naona tofauti sana...naona wapo wengi tu ...ni kutulia na kujipanga.....usizae watoto hivi hivi bila familia bana...mume sijui kama nitaweza ..sijaona mwenye kunifaa...ila wa kuwa baba mtoto nawaona...